TANGAZO

Saturday, July 18, 2015

Sala ya Iddi el Fitri Msikiti wa Sheikh Muhammad Idd, Buguruni Mnyamani Dar es Salaam

Waumini wa Msikiti wa Buguruni Mnyamani, wakiswali Sala ya Idd el Fitri, jijini Dar es Salaam leo. Msikiti huo ndio unaongozwa na Sheikh maarufu nchini Tanzania, Sheikh Muhammadi Idd. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Waumini wa Msikiti wa Buguruni Mnyamani, wakiwa katika Sala ya Idd el Fitri, jijini Dar es Salaam leo. 
Waumini wa Msikiti wa Buguruni Mnyamani, wakiswali Sala ya Idd el Fitri, jijini Dar es Salaam leo.  
Imamu Mkuu wa Msikiti wa Buguruni Mnyamani, Sheikh Muhammad Idd, akitoa mawaidha kwa waumini, wakati wa kumalizika kwa Sala ya Idd, iliyoswaliwa msikitini hapo, jijini Dar es Salaam leo. 
Imamu Mkuu wa Msikiti wa Buguruni Mnyamani, Sheikh Muhammad Idd, akitoa mawaidha kwa waumini, wakati wa kumalizika kwa Sala ya Idd, iliyoswaliwa msikitini hapo, jijini Dar es Salaam leo. 
Imamu Mkuu wa Msikiti wa Buguruni Mnyamani, Sheikh Muhammad Idd, akitoa mawaidha kwa waumini katika msikiti huo, wakati wa Sala ya Idd, iliyoswaliwa msikitini hapo, Dar es Salaam leo. 
Imamu Mkuu wa Msikiti wa Buguruni Mnyamani, Sheikh Muhammad Idd, akitoa mawaidha kwa waumini, wakati wa kumalizika kwa Sala ya Idd, iliyoswaliwa msikitini hapo, jijini Dar es Salaam leo. 
Waumini wakimsikiliza Imamu Mkuu wa Msikiti wa Buguruni Mnyamani, Sheikh Muhammad Idd, wakati alipokuwa akitoa mawaidha mara baada ya Sala ya Idd, iliyoswaliwa msikitini hapo, jijini Dar es Salaam leo. 
Waumini wakisikiliza kutoka kwa Imamu Mkuu wa Msikiti wa Buguruni Mnyamani, Sheikh Muhammad Idd, mara baada ya Sala ya Idd, iliyoswaliwa msikitini hapo, jijini Dar es Salaam leo. 
Imamu Mkuu wa Msikiti wa Buguruni Mnyamani, Sheikh Muhammad Idd, akisoma dua mara baada ya kumaliza kutoa mawaidha kwa waumini, wakati wa Sala ya Idd, iliyoswaliwa msikitini hapo, Dar es Salaam leo. 
Imamu Mkuu wa Msikiti wa Buguruni Mnyamani, Sheikh Muhammad Idd, akisoma dua mara baada ya kumaliza kutoa mawaidha kwa waumini, wakati wa Sala ya Idd, iliyoswaliwa msikitini hapo, Dar es Salaam leo. 
Waumini wakitakiana kheri ya Sikukuu ya Idd el Fitri mara baada ya kumalizika Sala ya Idd.

No comments:

Post a Comment