Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal wa pili kulia na Viongozi wa Taasisi ya ESAMI iliyopo Njiro Hill Mkoani Arusha akiongoza maandamano ya mahafali ya nane ya Taasisi hiyo yaliyofanyika leo Novemba 22,2014 Njiro Hill Mkoani Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti Witness Steven
mhitimu wa Shahada ya MBA katika Taasisi ya ESAMI Kampas ya Dar es salaam kwenye
mahafali ya nane ya Taasisi hiyo iliyofanyika leo Novemba 22,2014 Njiro Hill
Mkoani Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti Leah Mumbua mhitimu
wa Shahada ya MBA katika Taasisi ya ESAMI Kampas ya Nairobi kwenye mahafali ya nane
ya Taasisi hiyo iliyofanyika leo Novemba 22,2014 Njiro Hill Mkoani Arusha. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wahitimu wa fani mbalimbali kwenye Mahafali ya nane ya Taasisi ya ESAMI yaliyofanyika leo Novemba 22, 2014 Njiro Hill Mkoani Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wahitimu wa fani mbalimbali kwenye Mahafali ya nane ya Taasisi ya ESAMI yaliyofanyika leo Novemba 22, 2014 Njiro Hill Mkoani Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal katikati akipokea zawadi kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi
ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma George Yambesi kwenye Mahafali ya nane ya
Taasisi ya ESAMI yaliyofanyika leo Novemba 22, 2014 Njiro Hill Mkoani Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akiwa katika picha pamoja na Viongozi na
Wahitimu wa Fani mbalimbali kwenye
Mahafali ya nane ya Taasisi ya ESAMI yaliyofanyika leo Novemba 22, 2014 Njiro Hill
Mkoani Arusha. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohammed Gharib Bilal (katikati), akiwa katika picha pamoja na Viongozi na Wahitimu wa Fani mbalimbali kwenye Mahafali ya nane ya Taasisi ya ESAMI yaliyofanyika leo Novemba 22, 2014 Njiro Hill Mkoani Arusha. (Picha zote na OMR)
No comments:
Post a Comment