TANGAZO


Tuesday, May 13, 2014

Rais Jakaya Kikwete afungua mkutano Mkuu wa NSSF jijini Arusha

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Crescentius Magori akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete  katika viwanja vya AICC mjini Arusha ambapo alifungua mkutano Mkuu wa wadau wa NSSF leo jioni.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo muda mfupi baada ya kuwasili katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Arusha AICC mjini Arusha leo ambapo alifungua mkutano wa nne wa wadau wa NSSF.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mages Mulongo, Naibu Waziri wa TAMISEMI Kassim Majaliwa, Waziri wa Kazi na Ajira Gaudencia Kabaka,Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF Bwana Abubakar Rajabu na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa NSSF Bwana Crescentius Magori. (Picha zote na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment