TANGAZO


Tuesday, May 13, 2014

Rais Kikwete akutana na Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Hellen Clark Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais Dk Jakaya Kikwete akizungumza na Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Bibi Hellen Clark aliyemtembelea leo Mei 13, 2014, Ikulu jijini Dar es salaam
 Rais Dk Jakaya Kikwete akimsindikiza Mkuu huyo wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Bibi Hellen Clark baada ya mazungumzo yao, leo Mei 13, 2014 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dk. Jakaya Kikwete akiwa  na Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Bibi Hellen Clark na ujumbe wake leo Mei 13, 2014 Ikulu jijini Dar es salaam. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment