TANGAZO


Sunday, February 9, 2014

UDA yakabidhiwa magari 175 kati ya 1000 iliyoyanunua kutoka Kampuni ya Eicher

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba (katikati), akisalimiana na wageni mbalimbali waliofika katika hafla ya uzinduzi wa makabidhiano ya sehemu ya kwanza ya magari 175 kati ya magari 1000 yaliyonunuliwa na Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), kutoka Kampuni ya Eicher ya India, Makao Makuu ya shirika hilo, jijini jijini leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mwenyekiti Mtendaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa makabidhiano ya sehemu ya kwanza ya magari 175 kati ya magari 1000 yaliyonunuliwa na Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), kutoka Kampuni ya Eicher ya India, Makao Makuu ya shirika hilo, jijini jijini leo.
Mwenyekiti Mtendaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa makabidhiano ya sehemu ya kwanza ya magari 175 kati ya magari 1000 yaliyonunuliwa na Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), kutoka Kampuni ya Eicher ya India, Makao Makuu ya shirika hilo, jijini jijini leo.
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba, akimpongeza Mwenyekiti Mtendaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena, kwa hotuba yake aliyoitoa katika hafla hiyo.
Makamu wa Rais wa Kampuni ya kuunda magari ya Eicher ya India, ambaye pia ni Mkuu wa Bishara ya Kimataifa wa kampuni hiyo, Anurag Vohra, akizungumza katika hafla hiyo, kabla mgeni rasmi katika hafla hiyo, Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba hajatoa hotuba yake.
Makamu wa Rais wa Kampuni ya kuunda magari ya Eicher ya India, ambaye pia ni Mkuu wa Bishara ya Kimataifa wa kampuni hiyo, Anurag Vohra, akizungumza katika hafla hiyo.
Makamu wa Rais wa Kampuni ya kuunda magari ya Eicher ya India, ambaye pia ni Mkuu wa Bishara ya Kimataifa wa kampuni hiyo, Anurag Vohra, akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano hayo.
Mgeni rasmi katika uzinduzi wa makabidhiano ya sehemu ya kwanza ya magari 175 kati ya magari 1000 yaliyonunuliwa na Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), kutoka Kampuni ya Eicher ya India, Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba akizungumza katika makabidhiano hayo, Makao Makuu ya shirika hilo, jijini jijini leo.
Mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba, akizungumza katika makabidhiano hayo, Makao Makuu ya shirika hilo, jijini jijini leo.
Mgeni rasmi katika uzinduzi wa makabidhiano hayo, Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba katika hafla ya makabidhiano hayo, Makao Makuu ya shirika hilo, jijini jijini leo.
Baadhi ya Maofisa wa Kampuni za Eicher, Africareer na Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA), wakimsikiliza mgeni rasmi katika makabidhiano hayo, Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba, wakati alipokuwa akitoa hotuba yake katika hafla hiyo, jijini leo.
Makamu wa Rais wa Kampuni ya kuunda magari ya Eicher ya India, ambaye pia ni Mkuu wa Bishara ya Kimataifa wa kampuni hiyo, Anurag Vohra ( wa tatu kulia), akimkabidhi funguo, Mwenyekiti Mtendaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), Robert Kisena, Dar es Salaam leo, ikiwa kama uzinduzi wa kukabidhi magari 175 kati ya 1000 yaliyonunuliwa na shirika kutoka kampuni hiyo. Kulia ni Mkuu wa Mauzo wa Biashara ya Kimataifa, Aman Arora na Mkurugenzi wa Kampuni ya Africareer, wawakilishi wa kampuni hiyo nchini, Fida Rashid. 

No comments:

Post a Comment