TANGAZO


Sunday, February 9, 2014

Rais wa Zanzibar, Dk. Shein atembelea Kiwanda cha Viungo, Mumbai nchini India

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Ujumbe wake wakipewa maelezo kutoka kwa Afisa Rajiv Shah, alipotembelea kiwanda cha Viungo cha Kampuni ya (Everest Spice Industrues Ltd), kilichopo nje ya Mji wa Mumbai India, Rais akimaliza ziara yake ya siku tisa  katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nyanja mbali mbali za uchumi.(Picha  na Ramadhan Othman Mumbai India)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Ujumbe wake wakipewa maelezo kutoka kwa Afisa Rajiv Shah, alipotembelea kiwanda cha Viungo cha Kampuni ya (Everest Spice Industrues Ltd), kilichopo nje ya Mji wa Mumbai India, Rais akimaliza ziara yake ya siku tisa  katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nyanja mbali mbali za uchumi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiuliza jambo wakati alipofika katika mashine ya kusaga pilipili  katika kiwanda cha Viungo (Everest Spice Industries Ltd) na Ujumbe wake wakiwa na Afisa Rajiv Shah, wakati alipotembelea kuona utendaji kazi za kila siku   nje ya Mji wa Mumbai India,Rais amemaliza  ziara yake ya siku tisa  katika kukuza uhusiano na ushirikiano katika nyanja mbali mbali za  uchumi India.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakiangalia karafuu  wakati walipotembelea kiwanda cha  Viungo   cha  (Everest Spice Industries Ltd) ambacho viungo husagwa na  kutumika katika matumizi tofauti ikiwemo chakula dawa na mengineyo (kulia),  Afisa Rajiv Shah, akitoa maelezo kwa ujumbe wa Rais wakati ulipofika kiwandani hapo jana Mumbai India, katika ziara ya kiserikali. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake wakiangalia karafuu  wakati walipotembelea kiwanda cha  Viungo   cha  (Everest Spice Industries Ltd) ambacho viungo husagwa na  kutumika katika matumizi tofauti ikiwemo chakula dawa na mengineyo,(kulia)  Afisa Rajiv Shah, akitoa maelezo kwa ujumbe wa Rais wakati ulipofika kiwandani hapo jana Mumbai India,katika ziara ya kiserikali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein  akiangalia bidhaa iliyokwisha kuwa tayari kwa matumizi  ikiwa katika matayarisho yaliyo bora katika kiwanda cha cha  Viungo   cha  (Everest Spice Industries Ltd) Mumbai India akiwa katika ziara ya Kiserikali,(katikati) Balozi wa Tanznaia Nchini India John W. H. Kijazi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akioneshwa kitu na Afisa Rajiv Shah, alipotembelea  katika kiwanda cha Viungo (Everest Spice Industries Ltd) akiwa na ujumbe wake, kuona utendaji kazi za kila siku kiwanadani hapo, nje ya Mji wa Mumbai India, katika ziara ya kukuza uhusiano na mashirikiano ya kiuchumi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakiangalia bidhaa zilizokwisha kuwa tayari kwa mauzo, walipotembelea  katika kiwanda cha Viungo (Everest Spice Industries Ltd) akiwa na ujumbe wake    nje ya Mji wa Mumbai India, katika ziara ya kukuza uhusiano na mashirikiano ya kiuchumi,(kushoto) Afisa Rajiv Shah.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakikabidhiwa zawadi ya bidhaa na Afisa Rajiv Shah, katika kiwanda cha viungo cha (Everest Spice Industries Ltd) walipotembelea jana wakimalizia ziara katika Mji wa Mumbai  Nchini India,ikiwa ni kukuza uhusiano na ushirikiano katika pande hizo mbili.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na ujumbe wake  wakiwa katika mkutano na Uongozi wa Kiwanda cha Viungo cha (Everest Spice Industries Ltd)kilichopo nje ya Mji wa Mumbai India,Rais alitembelea akiwa na ujumbe wake jana katika kumalizia ziara ya siku tisa nchini humo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake  wakiwa katika mkutano na Uongozi wa Kiwanda cha Viungo cha (Everest Spice Industries Ltd)kilichopo nje ya Mji wa Mumbai India, Rais alitembelea akiwa na ujumbe wake jana katika kumalizia ziara ya siku tisa nchini humo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na ujumbe wake  alipokuwa akitoa  hutuba  fupi ya shukurani   katika mkutano na Uongozi wa Kiwanda cha Viungo cha (Everest Spice Industries Ltd), kilichopo nje ya Mji wa Mumbai India,Rais alitembelea kiwanada hicho akiwa na ujumbe wake jana katika kumalizia ziara ya siku tisa nchini humo,(kulia)
Mkuruigenzi wa Kiwanda hicho Sanjeev Shah.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akivalishwa vazi la heshma katika Nchi ya India na Mkurugenzi Sanjeev Shah  wa Kiwanda cha Viungo cha
(Everest Spice Industries Ltd), kilichopo nje ya Mji wa Mumbai India, alipofanya ziara ya kukitembelea kiwanda hicho akiwa na ujumbe aliofuatana nao jana katika ziara ya Kiserikali Nchini humo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Mkurugenzi wa Mkurugenzi Sanjeev Shah  wa Kiwanda cha Viungo cha (Everest Spice Industries Ltd) kilichopo nje ya Mji wa Mumbai India,  alipofanya ziara ya kukitembelea kiwanda hicho akiwa na ujumbe aliofuatana nao jana katika ziara ya Kiserikali Nchini humo.
Waandishi wa Habari wa vyombo tofauti vya Mji wa Mumbai wakiwa katika harakati  za kupata picha ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein, alipokuwa akizungumza nao baada ya kukitembelea Kiwanda cha Viungo cha (Everest Spice Industries Ltd), kilichopo nje ya Mji wa Mumbai India, akiwa katika ziara rasmi na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na  Mkurugenzi wa Mkurugenzi  Sanjeev Shah  wa Kiwanda cha Viungo cha (Everest Spice Industries Ltd)kilichopo nje ya Mji wa Mumbai India, alipofanya ziara ya kukitembelea kiwanda hicho akiwa na ujumbe aliofuatana nao jana katika ziara ya Kiserikali nchini humo.

No comments:

Post a Comment