TANGAZO

Thursday, October 17, 2013

Maadhimisho Siku ya Kuondoa Umasikini Duniani, Miss Ilala 2013, Doris Mollel ajitolea kufundisha wanafunzi wa Chuo cha Uhazili Msimbazi Centre

Miss Ilala 2013, Doris Mollel, akijitolea kuwafundisha wanafunzi somo la kuondoa umaskini (Eradication of Poverty), wakati alipofika Chuo cha Uhazili cha Msimbazi Centre, Dar es Salaam, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya kuondoa umaskini duniani, inayotambuliwa na Umoja wa Taifa (UN), Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Miss Ilala 2013, Doris Mollel, akiwa darasani kujitolea kufundisha wanafunzi somo la kuondoa umaskini (Eradication of Poverty), Chuo cha Uhazili cha Msimbazi Centre, Dar es Salaam leo. Siku hiyo inatambuliwa na Umoja wa Mataifa (UN), kama Siku ya Kuondoa Umasikini Duniani.
Miss Ilala 2013, Doris Mollel, akijitolea kuwafundisha wanafunzi wa Chuo cha Uhazili cha Msimbazi Centre, Dar es Salaam, somo la kuondoa umaskini, ikiwa ni katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya kuondoa umaskini duniani.
Miss Ilala 2013, Doris Mollel, akiwa darasani kufundisha somo la kuondoa umaskini (Eradication of Poverty), Chuo cha Uhazili cha Msimbazi Centre, Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Uhazili cha Msimbazi Centre, Dar es Salaam, wakimsikiliza Miss Ilala 2013, Doris Mollel, wakati alipokuwa akijitolea kuwafundisha somo la kuondoa umaskini (Eradication of Poverty), alipofika chuoni hapo katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya kuondoa  umaskini duniani, inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa (UN),

Miss Ilala 2013, Doris Mollel, akijitolea kuwafundisha wanafunzi somo la kuondoa umaskini (Eradication of Poverty), Chuo cha Uhazili cha Msimbazi Centre, Dar es Salaam, leo katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya kuondoa umaskini duniani.

No comments:

Post a Comment