TANGAZO


Thursday, March 15, 2012

Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango ala kiapo

 Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Longinus Rutasitara, akila kiapo mbele ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete,  Ikulu Dar es Salaam leo. Wapili kushoto anayeshuhudia ni Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue na watatu kushoto ni Karani wa Baraza la Mawaziri, Gerson Mdemu. (Picha na Freddy Maro)




 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akimrekebisha koti, Naibu Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Longinus Rutasitara, muda mfupi baada ya kumuapisha Ikulu Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, aliyehudhuria hafla hiyo. 

No comments:

Post a Comment