TANGAZO


Tuesday, June 12, 2018

UFAFANUZI WA KUSITISHA HUDUMA ZA HABARI KWENYE BLOGU YETU HII KWA WADAU

NDUGU WADAU WETU TUMELAZIMIKA KUSITISHA UWEKAJI WA HABARI ZA KILA SIKU KWENYE CHOMBO CHETU HIKI KUTOKANA NA AMRI YA SERIKALI KUTUTAKA WAMILIKI WA BLOGU ZOTE AMBAZO HAZIJAPATA USAJILI KUSIMAMISHA KUWEKA HABARI YOYOTE YENYE MAUDHUI MPAKA HAPO ITAKAPOSAJILIWA RASMI; KWAHIVYO WADAU WETU TUNAPENDA KUWAFAHAMISHA KWAMBA TUMO KATIKA JUHUDI ZA KUTAFUTA UWEZO WA KUSAJILIWA RASIMI TUKIFANIKWA TUNATEGEMEA KURUDI HEWANI HARAKA IWEZEKANAVYO.

AHSANTENI KWA MAWASILIANO: 0715830004, 0773830004, 0767830004 NA 0789533331

MKURUGENZI MWENDESHAJI KASSIM MBAROUK RAJAB

1 comment:

  1. Jetblue flight change policy Updated guide to JetBlue change flight policy in opened lockdown. As in opened Lockdown, most of the flight being canceled and delayed The JetBlue change flight policy has come up with a safety standard like as of social distancing, blocking middle seats and using gloves and face mask and sanitizing every flight.

    ReplyDelete