Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika maandamano kuelekea uwanja wa Jamhuri Dodoma kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa mwaka 2018.
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakipita mbele ya mgeni rasmi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa mwaka 2018 Uwanja waJamhuri Dodoma.Sehemu ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika jukwaa kuu Uwanja wa Jamhuri Dodoma wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa mwaka 2018.
Baadhi ya viongozi wakiwa meza kuu Uwanja wa Jamhuri Dodoma wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa mwaka 2018.

No comments:
Post a Comment