Madaktari Bingwa wa magonjwa ya Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)na wenzao wa Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya nchini Australia wakifanya upasuaji wa kuziba tundu la moyo wa mtoto leo katika kambi ya siku sita ya matibabu ya moyo inayoendelea katika Taasisi hiyo. Hadi sasa jumla ya wagonjwa 18 wamefanyiwa upasuaji kati ya hao watoto 11 watu wazima saba.

Afisa Muuguzi wa chumba cha wagonjwa waliopo katika uangalizi maalum (ICU) wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Andrew Kabeho na Afisa Uhusiano wa Taasisi ya Open Heart International (OHI) ya nchini Australia Jo Hyde wakimuhoji Leah John mkazi wa Shinyanga ambaye mtoto wake amefanyiwa upasuaji wa kuziba matundu mawili ya moyo jinsi alivyoifikia JKCI na kuweza kupata huduma ya matibabu.

No comments:
Post a Comment