TANGAZO


Tuesday, March 6, 2018

MDAHALO WA KUWANIA UONGOZI WA URAIS JUMUIYA YA WATANZANIA DMV (SEHEMU YA 2)

MDAHALO wa sehemu ya pili wa kugombania kinyang'anyiro cha Wakurugenzi kupitia Jumuiya ya Watanzania waishio DMV, ulioandaliwa na Tume ya Uchaguzi, Siku ya Jumamosi March 3, 2018 katika ukumbi wa Indiana Springs Terrance Local Park Sliver Spring Maryland nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment