TANGAZO


Sunday, November 26, 2017

NAIBU WAZIRI ANTHONY MAVUNDE AONGOZA MBIO ZA AIDS TRUST FUND MARATHON JIJINI DAR ES SALAAM

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde (mwenye miwani)  akiongoza matembezi ya  kilometa tano wakati wa mbio za Aids Trust Fund Marathon' za Kilometa 5, 9 na 21  zilizofanyika katika viwanja vya  viwanja vya The Green Kenyatta Drive, Osterbay jijini Dar es Salaam  Novemba 25, 2017 kwa ajili ya kuchangia mfuko wa Udhamini wa UKIMWI, (mwenye kofia nyeupe), Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS, Dk Leonard Maboko, kulia kwake ni Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa wa Oysterbay, Zefrin Lubuva.
Matembezi ya kilometa tano yakiendelea....
Mafoto akiwa kazini.
Matembezi yakiendelea.....
Mshiriki wa mbio za Kilometa 21,  kutoka Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania TACAIDS,  Carlson Konga.
Mbio za kilometa 21 zikiendelea.
Mama na mwanae wakishiriki mbio za kilometa tano...
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde (mwenye miwani)  akishiriki mazoezi ya viungo baada ya kumalizika mbio hizo (wakwanza kushoto) Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS, Dk Leonard Maboko.
Mwalimu wa mazoezi, Bw. Yassin Lupola akiongoza mazoezi.
Wananchi wakiendelea na mazoezi ya viungo.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde (mwenye miwani)  akishiriki mazoezi ya viungo pamoja na viongozi wengine.
Mkuu wa Kitengo cha Sheria wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania TACAIDS,  Elizabeth Kaganda (wakwanza kulia) akishiriki mazoezi ya viungo.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde,  akizungumza mara baada ya kumalizika mbio hizo.
Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS, Dk Leonard Maboko akizungumza.
Mwenyekiti wa Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI, Godfrey Simbeye.
Mkurugenzi wa kinga kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt Neema Rusibamayira akizungumza.
Seemu ya wananchi walioshiki mbio hizo.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde,  akimvisha medali   mshindi wa kwanza wa mbio za Kilometa 21, Mwasibu kutoka Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania TACAIDS,  Carlson Konga.
Mwenyekiti wa Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI, Godfrey Simbeye akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa mbio za kilomita 21.
Washiriki wakijisajili wakati wa mbio za Aids Trust Fund Marathon' za Kilometa 5, 9 na 21  zilizofanyika katika viwanja vya  viwanja vya The Green Kenyatta Drive, Osterbay jijini Dar es Salaam  Novemba 25, 2017 kwa ajili ya kuchangia mfuko wa Udhamini wa UKIMWI.(Picha zote na Philemon Solomon-MTAZAMO NEWS)

No comments:

Post a Comment