Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akijadili masuala ya kiutumishi na utawala bora na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) nchini, Bw. Andrew Karas alipomtembelea ofisini kwake leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akimsikiliza Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID) nchini, Bw. Andrew Karas alipomtembelea ofisini kwake leo kuzungumzia masuala ya kiutumishi na utawala bora.

No comments:
Post a Comment