TANGAZO

Tuesday, October 17, 2017

KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE CHA HESABU ZA SERIKALI (PAC) KUJADILI TAARIFA YA UKAGUZI MAALUM KATIKA NIDA

Wajumbe wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali PAC wakiendelea na kikao wakati leo walikuwa wakichambua na kujadili Taarifa ya Ukaguzi Maalum uliofanyika katika Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA pamoja na Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa kwa mwaka wa fedha unaishia June 30, 2016. 
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Nanghenjwa Kaboyoka (Kulia) na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Aeshi Hilary wakimsikiliza mjumbe wa Kamati hiyo  Mheshimiwa Ezekiel Maige akichangia wakati kamati yao ilipokuwa ikichambua na kujadili Taarifa ya Ukaguzi Maalum uliofanyika katika Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA pamoja na Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa kwa mwaka wa fedha unaishia June 30, 2016. 
Wajumbe wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali PAC wakiendelea na kikao wakati leo walikuwa wakichambua na kujadili Taarifa ya Ukaguzi Maalum uliofanyika katika Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa NIDA pamoja na Taarifa ya Hesabu zilizokaguliwa kwa mwaka wa fedha unaishia June 30, 2016.

No comments:

Post a Comment