TANGAZO

Sunday, September 3, 2017

Trump kufanya mkutano leo kuijadili Korea Kaskazini baada ya jaribio la nyuklia

Trump: matamshi na vitendo vya Korea Kaskazini ni hatari kwa Marekani

Haki miliki ya pichaREUTERS
Image captionTrump: matamshi na vitendo vya Korea Kaskazini ni hatari kwa Marekani
Rais wa Marekani Donald Trump na kikosi chake cha usalama wa taifa watafanya mkutano baadaye leo, kujadili jaribio la hivi punde la nyuklia lililofanywa na Korea Kaskazini, kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu ya White House.
Hii ni baada ya Trump kujibu hatua ya Korea Kaskazini ya kulifanyia jaribio bomu hilo la nyuklia.
"Matamshi ya nchi hiyo na vitendo vyake vinandelea kuwa vyenye hatari kubwa kwa Marekani," Trump aliandika kwenye mtandao wa twitter.
Trump pia amezilaumua China na Korea Kaskazini kuhusu jinsi zinavyoishughulikia Korea Kaskazini.
"Korea Kaskazini imekuwa tisho na uibu kwa China," ambaye ni mshirika wake na ambaye amekuwa na mafanikio kidogo katika kupata suluhu.
"Matamshi ya kufurahisha ya Korea Kusini kwa Korea Kaskazini hayatafaulu," Trump alisema.
Wakati huo huo watu kwenye mji mkuu wa Korea Kaskazini Pyongyang, wanaendelea kufahamu hatua ya nchi yao ya kulifanyia jaribio bomu la nyuklia.
Watu hao walipigwa picha wakisherehekea hatua hiyo.
Watu hao walipiwa picha wakisherehekea hatua hiyo.Haki miliki ya pichaALAMY
Image captionWatu hao walipigwa picha wakisherehekea hatua hiyo.
Watu hao walipiwa picha wakisherehekea hatua hiyo.Haki miliki ya pichaALAMY
Image captionWatu hao walipigwa picha wakisherehekea hatua hiyo.
Watu hao walipiwa picha wakisherehekea hatua hiyo.Haki miliki ya pichaAFP

No comments:

Post a Comment