TANGAZO


Sunday, September 3, 2017

Bomu kubwa la vita vya pili vya dunia kuharibiwa Ujerumani

People in Frankfurt vacate their homes (03 September 2017)

Haki miliki ya pichaAFP
Image captionWatu wakihama
Karibu watu 65,000 wakazi wa mji Frankfurt wamendoka makwao kutoa nafasi kwa wataalamu wanaoharibu bomu kubwa ambalo lilikosa kulipuka wakati wa vita vya pilia vya dunia.
Polisi wanasema kuwa shughuli ya kuharibu bomu hilo ilianza kufuatia kuhamishwa watu wengi zaidi katika historia ya Ujerumani baada ya vita.
Maeneo yaliyohamishwa watu ni pamoja na hospitali, makao ya watu wazee na benki kuu ya Ujerumani.
Police close a street in Frankfurt (03 September 2017)Haki miliki ya pichaREUTERS
Image captionMitaa ilifungwa na polisi mapema Jumapili
Inaaminika kwa kuna maelfu ya mabomu ambayo hayakulipuka nchini Ujerumani.
Wenyeji wengi walisema kuwa wangetumia muda wao mwingi siku ya leo kutembelea familia, kuzuru sehemu tofauti za mjii hadi itakapobainika kuwa eneo hilo liko salama.
A police helicopter observes the danger zone as about 65,000 people in Frankfurt evacuate part of the city while experts defuse an unexploded British World War Two bombHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionHelkopta zikipiga doria
Polisi walivyambia vyombo vya habari kuwa shughuliya kuwahamisha watu ilikuwa imepangwa na kwamba kila mtu alikuwa ameondolewa eneo hatari.
Bomu hilo la tani 1.4 la Uingezea, lilipatikana katika sehemu moja ya ujenzi siku ya Jumatano.
People wait in an exhibition hall serving as a shelter while evacuation measures are under way in Frankfurt (03 September 2017)Haki miliki ya pichaAFP
Image captionWakazi wanaweza kushi kwenye makao ya muda
man with phone taking picture of construction siteHaki miliki ya pichaEPA
Image captionEneo la kulipuliwa bomu limewavutia watalii na wenyeji

No comments:

Post a Comment