Mbunge wa Jimbo la
Tanga (CUF)Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza katika halfa
hiyo.
|
Mstahiki
Meya wa Jiji la Tanga, Alhaj Mustapha Selebosi ambaye pia ni Diwani wa
Kata ya Nguvumali akizungumza katika hadhara hiyo kulia ni Mbunge wa
Jimbo la Tanga, Alhaj Mussa Mbaruku.
|
Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Daudi Mayeji
akizungumza katika halfa hiyo.
|
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu
akisalimiana na madiwani wa Jiji la Tanga mara baada ya kuwasili katika
zahanati hiyo. Kushoto ni Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga, Alhaj Mustapa
Selebosi.
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
kushoto katikati ni Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga, Alhaj Mustapha
Selebosi kulia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa
Mbaruku.
Mbunge wa Jimbo la
Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akipanda mti kwenye zahanati hiyo mara
baada ya kuzinduliwa na Waziri
Ummy.
|
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali
Jijini Tanga wakifuatilia uzinduzi huo.
Waheshimiwa madiwani kutoka Kata
mbalimbali Jijini Tanga wakifuatilia uzinduzi huo.
Wananchi wakifuatilia uzinduzi huo.
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali
Jijini Tanga wakifuatilia uzinduzi huo.
Msanii wa maigizo mkoani Tanga, Dkt Njau akionyesha umahiri wake katika uzinduzi huo. (Habari kwa Hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha)

No comments:
Post a Comment