TANGAZO


Thursday, July 27, 2017

VIDEO: TEHAMA YABORESHA UTENDAJI KAZI NA UTOAJI WA HUDUMA KWA TAKUKURU

JE unajua jinsi TEHAMA inavyoboresha utendaji kazi na utoaji wa huduma kwa umma TAKUKURU. Usikose kuangalia kipindi hiki uone jinsi ambavyo TEHAMA imesaidia kuboresha utendaji kazi na utoaji wa huduma kwa umma hasa kupitia sims za mkononi.

No comments:

Post a Comment