TANGAZO


Monday, July 24, 2017

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA MIRADI YA MAENDELEO NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI WA MKOA WA TABORA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Kulia kwa Mh Rais ni Balozi wa India Nchini Mhe Sandeep Arya,Kulia kwa Mh Rais ni Waziri Maji Mhandisi Gerson Lwenge,akifuatiwa na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na Viongozi wengine wa Mkoa wa Tabora   wakikata utepe kuashiria Ufunguzi rasmi wa mradi wa Maji toka Ziwa Victoria Kwenda Kwenye Mji wa Tabora,Igunga na Nzega,  Julai 23,2917.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Balozi wa India Nchini Mhe Sandeep Arya,Wakiteta jambo mara baada ya Mh Rais Kuweka Jiwe la Msingi na Ufunguzi rasmi wa mradi wa Maji toka Ziwa Victoria Kwenda Kwenye Miji wa Tabora,Igunga na Nzega Julai 24,2017. 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipeana Mkono na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa Mara Baada ya Ufunguzi wa Ukarabati,Ujenzi na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege Tabora, Julai 24,2017
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,akipata maelezo ya Mradi Ukarabati,Ujenzi na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege Tabora toka kwa Mhandisi wa Ujenzi wa Uwanja huo Mhandisi Neema Joseph kushoto kwa Mh Rais ni Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa,  Julai 24,2017 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akifunua pazia la jiwe la msingi katika Ufunguzi wa Barabara ya  Tabora -Puge -Ngeza yenye Urefu wa Kilometa 114.9 mkoani Tabora leo, Julai 24,2017.  
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akikata utepe kwenye Ufunguzi wa Barabara ya  Tabora -Puge -Ngeza yenye Urefu wa Kilometa 114.9 akiwa na  Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano Prof Makame Mbarawa na Viongozi Wengine Wa Mkoa wa Tabora, Julai 24,2017. 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akiagana na wananchi mara baada ya ufunguzi wa Barabara ya Tabora -Puge -Ngeza yenye Urefu wa Kilometa 114.9 mkoani Tabora leo Julai 24,2017. (Picha zote na IKUU)

No comments:

Post a Comment