Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya wa pili kutoka kulia akitembelea
shule ya Msingi Bagamoyo wakati wa ziara yake wilayani Korogwe kushoto
ni Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Mhandisi Robert Gabriel na anayefuatia ni
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini (CCM) Marry Chatanda.
Naibu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya
akisalimiana na walimu wa shule ya msingi Matondoo wa kwanza kulia ni
Mkuu wa wilaya ya Korogwe, Mhandisi Robert Gabriel.
|
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Bagamoyo iliyopo wilayani Korogwe ambapo aliwataka kusoma kwa bidii ili waweze kupata mafanikio.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Jumanne Shauri akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Matondoo wakati wa ziara hiyo ambapo aliwataka kutilia mkazo masomo ya Sayansi.
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini (CCM) Marry Chatanda akisalimia na wananchi wa Jimbo lake wakati wa ziara hiyo ya Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe ,Jumanne Shauri akizungumza katika ziara ya Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknologia, Mhandisi Stella Manyanyawa tatu kutoka kulia.
Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Mhandisi Robert Gabriel akizungumza katika halfa hiyo.
Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya ambaye hayupo pichani.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknologia, Mhandisi Stella Manyanya katika akisisitiza jambo kwa Mkuu
wa wilaya ya Korogwe, Mhandisi Robert Gabriel kushoto wakati wa ziara
yake alipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa maktaba ya wilaya hiyo
ambao umeshindwa kuendea kwa muda mrefu ambapo aliagiza uendelezwe
kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Mji Jumanne Shauri na
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini (CCM) Marry Chatanda.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknologia, Mhandisi Stella Mayanya akiwa kwenye picha ya pamoja na walimu wa
Shule ya Msingi matondoo. (Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
|

No comments:
Post a Comment