Mtu tajiri zaidi barani Asian Jack Ma, yuko nchini Kenya wakati anapoanza ziara yake katika nchi za Afrika Mashariki.
Bwana Ma ambaye anamiliki kampuni ya Alibaba ambayo inaripotiwa kumiliki asilimia 11 ya biashara ya mtandao nchini China, atawahutubia vijana mjini Nairobi kabla ya kuelekea nchini Rwanda kuhudhuria mkutano wa Umoja wa Mataifa.
- Marekani kuimarisha biashara na China
- Biashara na uwekezaji wasisitizwa China
- Korea Kusini kuichukulia China hatua za kisheria
- G20: Marekani na China kuongoza mjadala wa biashara huru
Anaoandamana nao katika ziara hiyo ni kundi la wafanyabiashara matajiri wa kichina ambao wanatafuta fursa za uwekezaji.
GETTY IMAGES


No comments:
Post a Comment