TANGAZO


Tuesday, July 18, 2017

DIWANI VITI MAALUM WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KATIKA KITUO CHA HIYARI

Diwani Viti Maalum Kata ya Chang'ombe Temeke, Mwanakombo Mwinyimbegu akiwa katika picha ya pamoja na yatima wa kabla ya kukabidhi msaada wa vyakula mbalimbali.
Diwani Viti Maalum Kata ya Chang'ombe Temeke Mwanakombo Mwinyimbegu (mwenye kitambaa chekundu kichwani) akimkabidhi msaada hiyo, Shukuru Saidi mara alipofika katika Kituo cha Hiyari ambapo alitowa vitu Mbalimbali ikiwemo Mchele na Sukari.

Diwani Viti Maalum Kata ya Chang'ombe Temeke, Mwanakombo Mwinyimbegu akimkabidhi  baadhi ya misaada hiyo, mtoto Jamila Kibaja ambaye anasom Shule ya Msingi Mgulanilani Jijini Dar es Salaam.

Diwani Viti Maalum Kata ya Chang'ombe Temeke Mwanakombo Mwinyimbegu akizungumza na wanahabari baada ya kutowa Msaad a hiyo katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Hiyari.
Mmoja wa watoto hao, Fatuma Chitanda (17) anayesom katika Shule ya Sekondari ya Wailes akitowa shukrani kwa Diwani huyo na kumuombea azidi kuwakumbuka,wamejisikia faraja baada ya Diwani huyo kufika Kituoni hapo na alisema anaomba na wengine wazidi kuwapa faraja japo hata kuwatembelea nakujuwa changamoto zinazo wakabili zikiwemo na ufinyu wa eneo kwani hata pakuchezea hawana. 

No comments:

Post a Comment