Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya kikristo Tanzania, Askofu Dkt. Alex Malasusa kabla ya kuanza harambee kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania, katika tukio lililofanyika jana, Mjini Dodoma, Spika Ndugai pia ni Mgeni rasmi na aliongoza Wabunge katika harambee hiyo.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia), akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Mizengo Pinda (kushoto) kabla ya kuanza harambee kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania, katika tukio lililofanyika jana, Mjini Dodoma. katikati ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya kikristo Tanzania, Askofu Dkt. Alex Malasusa.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kulia), akiongoza Wabunge mbalimbali kucheza nyimbo ya injili kama njia moja wapo ya kuhamasisha uchangiaji kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania, tukio lililofanyika jana, Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza jambo kabla ya kuanza harambee kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania, tukio lililofanyika jana Mjini Dodoma. kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Mizengo Pinda na katikati ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya kikristo Tanzania, Askofu Dkt. Alex Malasusa.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto), akiteta jambo na Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) baada ya kumalizika kwa harambee kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania, tukio lililofanyika jana, Mjini Dodoma, Pia Spika Ndugai aliongoza Wabunge katika harambee hiyo. (Picha zote na Ofisi ya Bunge-Dodoma)

No comments:
Post a Comment