TANGAZO


Tuesday, June 13, 2017

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 46, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 13, 2017

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza kikao cha 45 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo, Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angella Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo, Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dk Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo, Mjini Dodoma Juni 13, 2017.  
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Edwin Ngonyani akifuatilia jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dk. Suzan Kolimba katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo, Mjini Dodoma Juni 13, 2017.  
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana, Mhe. Anthony Mavunde, akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo, Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Mbunge wa Mtama, Mhe.Nape Nnauye katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11, leo Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
Mbunge wa Viti maalum (CCM), Mhe. Fatma Toufiq akiuliza swali katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11, leo Mjini Dodoma Juni 13, 2017. 
Mbunge wa Viti maalum (CCM), Mhe.Ritta Kabati akiuliza swali katika kikao cha 46 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo, Mjini Dodoma Juni 13, 2017.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Anastazia Wambura akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kwaya ya Furahini K.K.K.T Ilongero-Mujuhu, Singida walipokwenda kumtembelea Bungeni, mjini Dodoma leo.(Picha zote na Daudi Manongi-Maelezo, Dodoma)

No comments:

Post a Comment