TANGAZO


Thursday, June 15, 2017

MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA YATUMIA TEHAMA KUBORESHA UTOAJI HUDUA ZAKE KWA UMMA

SERIKALI Mtandao inarahisisha utendaji kazi na utoaji wa huduma kwa umma. Usikose kuangalia kipindi hiki cha Seikali Mtandao katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) uone jinsi wanavyotumia mifumo mbalimbali ya TEHAMA katika kazi zao za kila siku.

No comments:

Post a Comment