Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akipokea kitabu kilichojikita katika Tafiti ya Kazi za Sanaa za Tanzania kutoka kwa Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Bi. Florence Tinguely Mattli alipomtembelea Waziri huyo ofisini kwake jana.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akimsikiliza Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Bi. Florence Tinguely Mattli alipomtembelea ofisini kwake mapema jana. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Bi. Florence Tinguely Mattli alipofanya ziara ya kikazi ofisini kwake jana. Kulia ni Mkuu wa Mahusiano wa ubalozi wa Uswisi nchini Bi. Romana Tadeschi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania Bi. Florence Tinguely Mattli (hayupo pichani) alipotembelewa na Balozi huyo ofisini kwake jana.

No comments:
Post a Comment