Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (wa pili kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaharu Yoshida (wa pili kushoto) alipomtembelea ofisini kwake leo kuzungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Japani hususan suala la wataalam wa kujitolea wanaokuja kufanya kazi nchini katika sekta mbalimbali.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo
na Balozi wa Japani nchini Tanzania, Mhe. Masaharu Yoshida (hayupo pichani)
alipomtembelea ofisini kwake leo kuzungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano
kati ya Tanzania na Japani hususan suala la wataalamu wa kujitolea wanaokuja
kufanya kazi nchini katika sekta mbalimbali.
No comments:
Post a Comment