TANGAZO


Wednesday, December 7, 2016

RAIS WA UFARANSA AFUNGUA MKUTANO WA 4 WA OGP, MKURUGENZI TWAWEZA AELEZA MUELEKEO WA OGP


Rais wa Ufaransa Bw. François Hollande akihutubia washiriki katika ufunguzi wa mkutano wa 4 wa mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi (OGP) katika ukumbi wa Salle Pleyel, ambapo alisisitiza umuhimu wa wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo na kuwataka washiriki kuja na matokeo ya hatua zilizochukuliwa katika kushirikisha wananchi kwenye masuala ya maendeleo. 
Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Rais wa Ufaransa Bw. François Hollande 
Rais wa Ufaransa Bw. François Hollande akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wapya wa mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi (OGP). 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Twaweza Bw. Aidan Eyakuze (kulia) akishiriki katika majadiliano wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 4 wa mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi (OGP) katika ukumbi wa Salle Pleyel,ambapo walijadili masuala mbalimbali ya Serikali kwa uwazi nakueleza mtazamo wake juu muelekeo wa mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi (OGP).
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Twaweza Bw.Aidan Eyakuze (KULIA) akishiriki katika majadiliano wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 4 wa mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi(OGP) katika ukumbi wa Salle Pleyel,ambapo walijadili masuala mbalimbali ya Serikali kwa uwazi nakueleza mtazamo wake juu muelekeo wa mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi (OGP).

No comments:

Post a Comment