Wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari za
jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka
ya usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Vallery Chamulungu wakati akiongea na
kuzindua Kongamano la siku moja la maadhimisho ya siku Usafiri wa anga Duniani(ICAD)
yaliyofanyika makao makuu ya (TCAA) Ukonga Banana jijini Dar es Salaam. Lengo
kuu la kongamano hilo ilikuwa ni kuwahamasisha wanafunzi hao wapende masomo
yanayohusiana na usafiri wa Anga.
Mkufunzi wa Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania
Aristid Kanje akitoa mafunzo juu ya kozi mbalimbali zinazotolewa na chuo cha
Usafiri wa Anga(CATC),wakati Kongamano la siku moja la maadhimisho ya siku
Usafiri wa anga Duniani yaliyofanyika makao makuu ya (TCAA) Ukonga Banana
jijini Dar es Salaam. Lengo kuu la kongamano hilo ilikuwa ni kuwahamasisha
wanafunzi hao wapende masomo yanayohusiana na usafiri wa Anga.
|
Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa kamati ya
maandalizi ya siku ya usafiri wa anga duniani (ICAD), Dkt.James Diu, Afisa
mwanadamizi Idara ya uongozaji ndege Mwanajumaa Kombo na Mkufunzi wa Chuo cha
Usafiri wa Anga Tanzania (CATC) ,Aristid Kanje wakiwa kwenye kongamano la siku
moja la maadhimisho ya siku ya usafiri wa anga duniani yaliyofanyika makao
makuu ya (TCAA) Ukonga Banana jijini Dar es Salaam. Lengo kuu la kongamano hilo
ilikuwa ni kuwahamasisha wanafunzi hao wapende masomo yanayohusiana na usafiri
wa Anga.
Baadhi ya washiriki wa wakati Kongamano la siku
moja la maadhimisho ya siku Usafiri wa anga Duniani yaliyofanyika makao makuu
ya (TCAA) Ukonga Banana jijini Dar es Salaam wakisikiliza kwa makini Afisa
mwanadamizi wa Idara ya usalama wa Anga Kapteni Lulu Malima wakati alipokuwa
akitoa nada kwenye kongamono hilo.
Afisa mwanadamizi Idara ya uongozaji ndege
Mwanajumaa Kombo akitoa elimu juu ya
masuala ya uongozaji wa ndege kwa
wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari za jijini Dar es Salaam, wakati wa Kongamano la siku moja la
maadhimisho ya siku Usafiri wa anga Duniani(ICAD), yaliyofanyika makao makuu ya
(TCAA) Ukonga Banana jijini Dar es Salaam. Lengo kuu la kongamano hilo ilikuwa
ni kuwahamasisha wanafunzi hao wapende masomo yanayohusiana na usafiri wa Anga.
|
Wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari za jijini Dar es Salaam,wakiwa
kwenye kongamano la siku moja la maadhimisho ya siku ya usafiri wa anga duniani
(ICAD) lililoandaliwa na Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) jijini Dar
es Salaam. Lengo kuu ilikuwa ni kuwahamsisha wanafunzi hao waweze kupenda
masomo yanayohusiana na usafiri wa Anga. PICHA NA FESTO KINGU-MTAZAMOMEDI BLOG.
No comments:
Post a Comment