TANGAZO


Saturday, December 3, 2016

Maiti za walioangamia kwenye ajali ya ndege Colombia kuwasili Brazil

Ajali hiyo ilingamiza karibu timu yote ya ChapecoenseImage copyrightAP
Image captionAjali hiyo ilingamiza karibu timu yote ya Chapecoense
Miili 71 wa watu walioangamia kwenye ajali ya ndege nchini Colombia ambapo pia timu ya kandanda ya Brazili iliangamia zinarejeshwa nyumbani.
Zaidi ya watu 100,000 wanatarajiwa kujitokesa katika ibada ambayo itafanyika kwenye uwanja wa michezo wa Chapeco baadaye
Ni watu 6 walionusurika kwenye ajali hiyo ya siku ya Jumatatu.
Ibada itafanyika uwanja wa ChapecoImage copyrightREUTERS
Image captionIbada itafanyika uwanja wa Chapeco
Rais wa Brazil Michele Temer ataamkua ndege ya kijeshi ambayo itabeba maiti hizo.
Bwana Temer anatarajiwa kuwapa tuzo katika sherehe katika uwanja wa ndege wa Chapeco -nyumbani kwa wachezaji hao, Kusini mwa Brazil.

No comments:

Post a Comment