Mkurugenzi wa Kampuni inayotoa huduma na kuuza vifaa vya usikivu ya Medel Bw. Mohamed Disouky wa kwanza kushoto akimpa maelezo Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya wa pili kulia jinsi huduma hiyo inavyotolewa wakati wa uzinduzi wa huduma ya upandikizwaji wa vifaa vya usikivu kwa watoto uliofanyika jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Muhimbili, Prof. Lawrence Museru.
Baadhi ya wazazi wa watoto wenye
matatizo ya usikivu wakiwa katika foleni ya kusubiri huduma ya upandikizwaji wa
vifaa vya usikivu wakati wa uzinduzi wa huduma ya upandikizwaji wa vifaa vya
usikivu kwa watoto uliofanyika jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Ally Daud-Maelezo)

No comments:
Post a Comment