TANGAZO


Thursday, October 6, 2016

Utamaduni wa watu kucheza na maiti Madagascar


  • Nchini Madagascar, jamii ya Malagasy ina mila na desturi ya 
  • kushangaza ambapo maiti 
  • hufukuliwa na kufanyiwa sherehe.
Familia yote huusika katika sherehe hiyo ijulikanayo kama Famadihana lakini sasa changamoto ni kwa familia nyingi zinashindwa kuchangisha fedha za kugharamia mila hii.

No comments:

Post a Comment