Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu alikomwandalia dhifa ya Kitaifa kwaheshima yake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu alikomwandalia dhifa ya Kitaifa kwa heshima yake.
Rais Joseph Kabila akimwamkia Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Ikulu jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo, katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake.
Rais Joseph Kabila akimwamkia Mama Sitti Mwinyi, Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Ikulu jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake.
Rais Joseph Kabila akisalimiana na Spika Mstaafu Mhe Anne Makinda Ikulu jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo, katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake.
Rais Joseph Kabila akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid Ikulu jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo, katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake.
Sehemu ya waliohudhuria dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima ya Rais Joseph Kabila wa DRC.
Sehemu ya waliohudhuria dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima ya Rais Joseph Kabila wa DRC. Kutoka kushoto ni rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Mama Sitti Mwinyi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi
Sehemu ya wageni waalikwa katika dhifa hiyo akiwemo Prof. Makame Mbarawa, Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohammed Aboud Mohammed, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Suzan Kolimba na Mawaziri kutoka DRC.
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe.Mohamed Chande Othman, Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga na Waziri wa mambo ya Nje wa DRC Mhe. Raymond Tshibanda.
Wakuu wa vyombo vya ulinzi wa Tanzania na DRC.
Sehemu ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi.
Cecilia Kabila (kulia), mdogo wake Rais Joseph Kabila wa DRC alikuwepo.
Wadau waalikwa.
Waalikwa
Meza kuu ikiwa na Rais Dkt Magufuli na mgeni wake Rais Joseph Kabila na Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mama Janeth Magufuli.
Rais Dkt Magufuli akiwa meza kuu na mgeni wake Rais Joseph Kabila na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Wafanyabishara maarufu nchini, Saidi Salim Bakhressa (kushoto) na Mohamed Dewji.
Wafanyabishara maarufu nchini Saidi Salim Bakhressa (kushoto) na Mohamed Dewji wakiwa na wenzao wa DRC na Tanzania.
Msanii mkongwe, Zahir Ally Zorro alikuwepo kutoa burudani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia.
Mabalozi wa nchi mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Wadau mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Mkalimani mahiri, Dkt. Mussa Lulandala akiwa kazini.
Wageni waalikwa wakifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisimua wasikilizaji wa hotuba yake.
Mama Janeth Magufuli akigonganisha glasi na Rais Joseph Kabila wa DRC baada ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Glasi zikigongwanishwa baada ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Meza kuu ikisimama wakati wimbo wa Taifa wa DRC ukipigwa baada ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Waalikwa wote walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa DRC ukipigwa baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhutubia.
Wote walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa DRC ukipigwa baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akihutubia.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akiendelea kuhutubia.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akimtakia heri mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha glasi kumtakia heri mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha glasi na Mama Janeth Magufuli kumtakia heri yeye na mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha glasi na makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila Rais Dkt Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mama Janeth Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam.
Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa.
Cecilia Kabila na wageni waalikwa wakisimama wakati wa wimbo wa Taifa.
Waalikwa wote walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa baada ya Rais Joseph Kabila wa DRC kuhutubia.
Waalikwa wote walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa baada ya Rais Joseph Kabila wa DRC kuhutubia.
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Bw. Gerson Msigwa akiendesha shughuli kwa weledi.
Mwanamuziki Christian Bella akitumbuiza kwenye dhifa hiyo.
Mwanamuziki Christian Bella akitumbuiza kwenye dhifa hiyo.
Mwanamuziki Christian Bella akitumbuiza kwenye dhifa hiyo.
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Mama Janeth Magufuli akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Eng. Deusdedit Kakoko, akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Mama Salma Kikwete akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Spika Mstaafu Mhe Anne makinda akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Mabalozi wakimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Balozi Mpya wa Uingereza nchini, Bi. Sarah Cooke, akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Wageni kutoka DRC wakimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Christian Bella akiendelea kutumbuiza.
Cecilia Kabila akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Mwanamuziki Christian Bella akishukuru.
Balozi akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Balozi wa Comoro nchini Tanzania, Dk. Ahamada El Badaoui Mohamed akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Mgeni kutoka DRC akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Kaimu Balozi wa Burundi nchini, Bw. Prefere Ndayishimiye akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Joseph Kabila wakiongea na mawaziri wao wa Nchi za Nje Ikulu jijini Dar es salaam.
Wageni wafurahia Burudani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakipata burudani kutoka kwa Brass band ya Polisi Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mama Janeth Magufuli na mgeni wao Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakipata burudani kutoka kwa Brass band ya Polisi Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mama Janeth Magufuli na mgeni wao Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakipata burudani kutoka kwa Brass band ya Polisi Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufulina mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakishukuru baada ya kupata burudani kutoka kwa Brass band ya Polisi Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufulina mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakishukuru baada ya kupata burudani kutoka kwa Brass band ya Polisi Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakiagana na viongozi wastaafu Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakiagana na viongozi wastaafu Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akikumbatiana na mdogo wake, Cecilia.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akiagana na mdogo wake Cecilia.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akiagana na mdogo wake Cecilia.
Ngoma ya Msewe ikichezwa na kundi la utamaduni la JKT.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakitumbuizwa na kikundi cha Brass band cha Mount Usambara chini ya Mzee Hoza Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha umahiri wake wa kupiga ngoma mbele ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete baada ya dhifa hiyo ya Kitaifa.(Picha zote na IKULU)
No comments:
Post a Comment