TANGAZO


Saturday, October 22, 2016

BALOZI WA FINLAND NCHINI AMTEMBELEA PROFESA MUHONGO

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akizungumza wakati wa kikao na Balozi wa Finland Nchini, Pekka Hukka (katikati). Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Mhandisi Juliana Pallangyo. 
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akizungumza alipokutana na Balozi wa Finland Nchini, Pekka Hukka (kushoto). Balozi Hukka alimtembelea Waziri Muhongo Ofisini kwake, Makao Makuu ya Wizara ya Nishati na Madini Jijini Dar es Salaam ili kuzungumza masuala mbalimbali ikiwemo uboreshaji wa Sekta ya Nishati nchini.
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akipeana mkono na Balozi wa Finland Nchini Tanzania, Pekka Hukka wakati Balozi huyo alipomtembelea Waziri Muhongo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. 
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akizungumza katika kikao na Balozi wa Finland Nchini, Pekka Hukka (kushoto).
Balozi wa Finland Nchini, Pekka Hukka (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.(Picha zote na Mohamed Seif, Nishati na Madini)

No comments:

Post a Comment