Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mohamed Punjani Foundation Bw. Gulam Punjani (kulia) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa makabidhiano ya msaada wa miguu ya bandia takribani 600 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni sitini kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wenye mahitaji ya viungo hivyo mapema hii leo katika Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI). Katikati ni Mkurugenzi wa Mradi wa Watoto Kwanza, Bi. Janeth Kiwia na kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mtendaji waTaasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Dkt. Othman Kiloloma.
Mtaalam wa kutengeneza viungo vya miguu toka Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) Bw. Soud Ramadhan akionesha namna ya utengenezaji wa miguu bandia kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa makabidhiano ya msaada wa miguu ya bandia takribani 600 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni sitini kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wenye mahitaji ya viungo hivyo mapema hii leo katika taasisi ya mifupa na mishipa ya fahamu.
Mtaalam wa kutengeneza viungo vya miguu toka Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu (MOI) Bw. Geofrey Mwakasungula akionesha namna ya utengenezaji wa miguu bandia kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa makabidhiano ya msaada wa miguu ya bandia takribani 600 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni sitini kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wenye mahitaji ya viungo hivyo mapema hii leo katika taasisi ya mifupa na mishipa ya fahamu.
Kaimu Mkurugenzi wa Mtendaji waTaasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Dkt. Othman Kiloloma (kulia) akionesha waandishi wa habari (hawapo pichani) moja ya viungo bandia wakati wa makabidhiano ya msaada wa miguu ya bandia takribani 600 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni sitini kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wenye mahitaji ya viungo hivyo mapema hii leo katika taasisi ya mifupa na mishipa ya fahamu.
Mkurugenzi wa Mradi wa Watoto Kwanza Bi. Janeth Kiwia (kulia) akisoma pamoja na wanafunzi ambao wanamataizo ya viungo wakati wa makabidhiano
ya msaada wa miguu ya bandia takribani 600 yenye thamani ya zaidi ya shilingi
milioni sitini kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wenye mahitaji ya viungo hivyo
mapema hii leo katika taasisi ya mifupa na mishipa ya fahamu.
Mkurugenzi
wa Mradi wa Watoto Kwanza Bi. Janeth Kiwia kulia akisisitiza jambo kwa
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa makabidhiano ya msaada wa miguu
ya bandia takribani 600 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni sitini kwa
ajili ya kuwasaidia wagonjwa wenye mahitaji ya viungo hivyo mapema hii leo
katika taasisi ya mifupa na mishipa ya fahamu, kushoto ni Kaimu Mkurugenzi
Mtendaji wa taasisi hiyo Dkt. Othman Kiloloma.








No comments:
Post a Comment