Wasanii
Vanessa Mdee na Juma Jux wakiimba pamoja kwenye tamasha la Tigo fiesta
lililofanyika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro usiku wa jana.
|
Chege akiburudisha maelfu ya mashabiki na wapenzi wa muziki mkoani morogoro katika Jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana Mkoani Morogoro.
|
FID Q akitoa michano hatari katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana katika viwanja vya Jamhuri mkoani Morogoro.
|
Mkali wa Dansi Christian Bella akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta katika viwanja vya Jamhuri Mkoani Morogoro usiku wa jana.
|
Msanii Manfongo akiwasha
moto kwenyetamasha la Tigo fiesta lililofanyika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
|
Mr Blue katika ubora wake akitumbuiza maelfu ya wakazi wa Morogoro katika uwanja wa Jamhuri.
|
Mkali wa Singeli akitoa burudani kwa mashabiki wake na wapenzi wa burudani walijitokeza katika uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.
|
Mh. Temba akiwapagawisha wakazi na mashabiki wa mziki toka Morogoro katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana.
|
Vanessa akiwa na wacheza shoo wake katika kulivamia jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana katika viwanja vya Jamhuri Mkoani.
|

No comments:
Post a Comment