TANGAZO


Tuesday, September 27, 2016

FIFA:Uamuzi wetu wa kupambana na ubaguzi wa rangi ni sahihi

Fatma Samba Diof Samoura alikuwa akizungumza katika kikao cha kimataifa cha soka mjini Manchester

Image captionFatma Samba Diof Samoura alikuwa akizungumza katika kikao cha kimataifa cha soka mjini Manchester
FIFA ametetea uamuzi wake wa jitihada za kupambana na ubaguzi wa rangi, na ukosoaji unaotaka wa kukwamisha jitihada hizo ni wakutia aibu.
Kikosi cha FIFA cha kupambana na ubaguzi wa rangi na udhalilishaji kiliundwa mwaka 2013 kutengeneza mikakati ya kutatua tatizo hilo.
Katibu Mkuu wa Fifa Fatma Samba Diof Samoura alisema kuwa timu hiyo ilikuwa na mamlaka malumu na yamefanikiwa
Lakini kwa upande mwengine aliyekuwa Makamu wa Rais wa FIFA Prince Ali bin Hussein anaona kikosi hicho kijitegemee kwani kwa sasa kinafanya kazi katika mazingira ya hofu.
Prince Ali ambaye pia ni Rais wa chama cha soka cha Jordan na aliyekuwa mgombea urais wa FIFA aliongeza kuwa dhana ya uongozi wa FIFA kuamini kuwa mapendekezo ya timu hiyo maalumu ya kupambana na ubaguzi kuwa yametekelezwa ni aibu.

No comments:

Post a Comment