TANGAZO


Wednesday, August 3, 2016

MSIKITI WA GADAFI DODOMA WAFANYA MAHAFALI YA 10 NA 11 YA KOZI ZA KOMPYUTA, USHONAJI NA LUGHA

Mkurugenzi wa Elimu Tamisemi, Abdul Maulidi akizungumza kwenye Mahafali ya 10,11 ya 2anafunzi waliohitimu koza za Ushonaji, Lugha ya Kiarabu na Ushonaji vinavyotolewa na Jumua ya kuulingania Uislamu Duniani kituo cha Dodoma, Waliokaa Katikati ni Mkurugenzi wa Jumuia hiyo Amar Bashir Zayani na mwisho ni Mkurugenzi wa Kituo cha Dodoma Khamis Ally Balawa. (Picha zote na John Banda-Dodoma)

Mkurugenzi wa Jumuia ya Kuulingania Uislamu Duniani Kituo cha Dodoma Khamis Ally Balawa akizungumza jambo wakati wa mahafali ya wahitimu wa Kozi za Lugha ya Kiislamu, Compyuta na ushonaji yaliyofanyika jana, waliokaa katikati ni Mkurugenzi mkuu wa Jumuia hiyo Amar Bashir Zayani wa Nchini Libya na mwisho ni Mkurugenzi wa Elimu Tamisemi aliyekuwa mgeni Rasmi katika mahali hayo. 
Mkurugenzi wa Elimu Tamisemi, Abdul Maulidi akifanunua jambo wakati alipokuwa akitoa hotuba katika mahafali ya 10 na 11 ya wanafunzi wa kozi za Compyuta, Ushonaji na Lugha ya Kiarabu yanayoendeshwa na Jumuiya ya kulingania Uislamu Duniani toka nchini Libya katika msikitI wa Gadafi. 
Baadhi ya wahitimu wa kiume wa mafunzo ya Kozi za Compyuta, Ushonaji na Lugha ya Kiarabu wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Kuulingania Uislamu inatoa kozi hizo bila kubagua dini, pamoja na viongozi wa Msikiti wa Gadafi mjni Dodoma. 
Baadhi ya wahitimu wa kike wa mafunzo ya Kozi za Compyuta, Ushonaji na Lugha ya Kiarabu wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Kuulingania Uislamu inatoa kozi hizo bila kubagua dini, pamoja na viongozi wa Msikiti wa Gadafi mjni Dodoma. 
Mkurugenzi Mkuu wa World Islamic Coll Society, Amara Bashiri Zayani (kulia), akizungumza na Mkurugenzi wa Elimu Tamisemi, Abdul Maulidi (katikati) na Mweka hazina wa jumuia hiyo, Ahmed Elmajdoubi (kushoto), wakati wa mahafali hayo. 

No comments:

Post a Comment