TANGAZO


Wednesday, July 6, 2016

MABADILIKO YA RATIBA YA MAZISHI YA MHE. BEATRICE SHELUKINDO

Mbunge wa zamani wa Kilindi, marehemu Beatrice Matumbo Shelukindo

Familia ya William H. Shelukindo inapenda kuwataarifu kuwa mazishi huko Arusha ya Mpendwa wao Beatrice Matumbo ShelukindoMbunge wa zamani wa Kilindi sasa yatafanyika siku ya Alhamisi tarehe 7/7/2016 na sio leo Jumatano tarehe 6/7/2016 kama ilivyotangazwa awali.

Bwana Ametoa Bwana Ametwaa,Jina la Bwana Lihimidiwe.

No comments:

Post a Comment