Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo (kulia) akizungumza na familia ya Wakonta wakati wa kukabidhi msaada kwa wa shillingi laki 5 kwa Wakonta Kapunda Jijini Dar es Salaam.
Wakonta Kapunda akimshukuru Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo kwa msaada wa shillingi laki 5 Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akikabidhi msaada wa shillingi laki 5 kwa Wakonta Kapunda Jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Shamimu Nyaki WHUSM)

No comments:
Post a Comment