Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Michezo
kutoka Wizara ya Habari UtamaduniSanaa na Michezo Alex Nkenyenge akisisitiza jambo wakati alipotembelea kuangaliamaendeleo ya uwekaji wa mashine za tiketi zakieletroniki katika Uwanja wa Taifa leo Juni 27,2016. (Picha zote na Raymond Mushumbusi-WHUSM)
Mhandisi kutoka kampuni ya B.C.E.G ya China Bw. Xiong (kushoto) akifafanua jambo kwaKaimu Mkurugenzi Idaraya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw.Alex Nkenyenge (kulia) kuhusu mashine za tiketi za kieletroniki zinazotarajiwakutumika kuingia katika Uwanja wa Taifa leo Juni 27,2016.
Mtaalamu wa Mashine za tiketi za kieletroniki kutoka kampuni ya Selcom Bw. Adrew Emmanuel (kushoto), akimuelekeza jinsi ya kutumia moja ya mashine hizo Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw.Alex Nkenyenge alipotembelea kuangalia maendeleo ya uwekaji wa mashine hizo uwanjani hapo LeoJuni 27, 2016.
Mtaalamu kutoka kampuni ya Selcom Bw. Adrew Emmanuel akirekebisha moja ya mashine zatiketi za kieletroniki zinazotarajiwa kuanza kutumika kuingia katika Uwanja wa Taifa hivi karibuni.
Baadhi ya wananchi wakijaribu kutumia mashine ya tiketi za kieletroniki zinazotarajiwakuanza kutumika kuingia katika Uwanja wa Taifa hivi karibuni.
Baadhi ya wananchi wakijaribu kutumia mashine ya tiketi za kieletroniki zinazotarajiwakuanza kutumika kuingia katika Uwanja wa Taifa hivi karibuni.
Moja ya mashine ya tiketi za kieletroniki zinazotarajiwa kuanza kutumika kuingia katikaUwanja wa Taifa hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment