TANGAZO


Sunday, May 22, 2016

Wenyeji wa Fallujah washauriwa kuondoka

Image copyrightAFP
Image captionMji wa Fallujah uko mikononi mwa Islamic State.
Wenyeji wa mji wa Falluja nchini Iraq ambao unadhibitiwa na Islamic State wameshauriwa na jeshi la Iraq kuwa tayari kuondoka mjini humo.
Ushauri huo ulitolewa kabla ya mashambulizi yanayotarajiwa kuendesha na jeshi ili kuukomboa mji huo
Mtandao mmoja wa wakurdi unasema kwa karibu wanajeshi 20,000 wamewasilia katika maneo yanayounzunguka mji wa Fallujah.
Kundi moja la kutetea haki za binadamu lenye makao yake nchini Marekani linasema kuwa watu waliokwama mjini humo wanakumbwa na njaa.

No comments:

Post a Comment