Naibu Waziri, Wizara ya Maji na Umwagiliaji,
Mhe. Eng. Isack Aloyce Kamwelwe akiwasili katika Viwanja vya Bunge leo 21 Mei, 2016 kwa ajili ya vikao vya bunge hilo mjini Dodoma.
|
Baadhi ya Wabunge mbalimbali wakiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuhudhuria vikao ndani ya Bunge hilo leo 21 Mei, 2016.
|
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William
Vangimembe Lukuvi akisoma Bajeti ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 leo
Bungeni mjini Dodoma 21 Mei, 2016.
|
Mbunge wa CCM, Mhe Rashid Abdallah Shangazi (kulia) akijadiliana na Mbunge mwenzie ndani ya Bunge mjini Dodoma leo 21 Mei, 2016.
|
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Azzan Mussa Zungu akiongoza Bunge mjini Dodoma leo 21 Mei, 2016.
|
Mbunge wa CCM, Mhe. Ally Mohamed Keissy (kulia) akijadiliana na Wabunge wenzie ndani ya Bunge mjini Dodoma leo 21 Mei, 2016.
|

No comments:
Post a Comment