Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel aliyeshika picha ya Rais akifurahia jambo na mchoraji wa picha hiyo Bw. Furaha Mwakitalu wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akiongea na wadau mbalimbali wa Sanaa wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi Ya wasanii wakionyesha umahiri wao wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi Ya wasanii wakionyesha umahiri wao wa kucheza bao, wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.(Picha na Benjamin Sawe)






No comments:
Post a Comment