TANGAZO


Wednesday, May 25, 2016

BASI LA MWENDO KASI LAGONGWA MAKUTANO YA BARABARA ZA MSIMBAZI, UMOJA WA MATAIFA, MOROGORO JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Moja ya Mabasi ya Mwendokasi lenye namba za usajili T 123 DGW limegongwa na gari dogo lenye namba za usajili T543 CUQ katika makutano ya Barabara za Msimbazi, Umoja wa Mataifa na Morogoro, Dar es Salaam leo mchana, kama linavyoonekana pichani. Chini ni picha tofauti za tukio hilo. (Picha zote na Khamisi Mussa)





No comments:

Post a Comment