Mratibu wa Programu ya kukuza Ajira zenye staha kwa Vijana Dar es Salaam, kupitia Elimu ya Biashara na Ujasiriamali Bw. Dominic Ngunguru akiwasilisha mada kuhusu mafanikio ya program hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa nne wa Kamati inayokutanisha wadau wa program hiyo. Programu hiyo inatekelezwa kwa ubia baina ya asasi za Tanzania Youth Vision Association (TYVA), Open Mind Tanzania (OPM) na Youth of Afrika (YOA).
Baadhi ya wajumbe wa Kamati kuhusu Programu ya kukuza Ajira zenye Staha kwa Vijana Dar es Salaam (YEID) wakifuatilia mada kuhusu mafanikio ya program hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa nne wa Kamati inayokutanisha wadau wa program hiyo. Programu hiyo inatekelezwa kwa ubia baina ya asasi za Tanzania Youth Vision Association (TYVA), Open Mind Tanzania (OPM) na Youth of Afrika (YOA).

Mratibu wa Programu ya Ukuzaji Ajira zenye Staha Kanda ya Afrika Mashariki na mwakilishi wa Taasisi ya FIC kutoka Nairobi Kenya, Bw. Festus Ouko akichangia mada wakati wa mkutano wa nne wa Kamati inayokutanisha wadau wa program hiyo jana jijini Dar es Salaam. Programu hiyo inatekelezwa kwa ubia baina ya asasi za Tanzania Youth Vision Association (TYVA), Open Mind Tanzania (OPM) na Youth of Afrika (YOA).
Baadhi ya wajumbe wa Kamati kuhusu Programu ya kukuza Ajira zenye Staha kwa Vijana Dar es Salaam (YEID) wakifuatilia mada kuhusu mafanikio ya program hiyo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa nne wa Kamati inayokutanisha wadau wa program hiyo. Programu hiyo inatekelezwa kwa ubia baina ya asasi za Tanzania Youth Vision Association (TYVA), Open Mind Tanzania (OPM) na Youth of Afrika (YOA).
Baadhi ya wajumbe wa Kamati kuhusu
Programu ya kukuza Ajira zenye Staha kwa Vijana Dar es Salaam (YEID) wakiwa
katika picha ya pamoja jana jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza mkutano
wa nne wa Kamati inayokutanisha wadau wa program hiyo.Programu hiyo
inatekelezwa kwa ubia baina ya asasi za Tanzania Youth Vision Association
(TYVA), Open Mind Tanzania (OPM) na Youth of Afrika (YOA). (Picha zote na Frank Shija, WHUSM)

No comments:
Post a Comment