Rais Salva Kiir
Sudan Kusini inasema kuwa kiongozi wa waasi Riek Machar hawezi kwenda mji mkuu Juba hii leo.
Waziri wa habari alisema kuwa serikali itatoa tu kibali kwa ndege itakayombeba Machar baada ya waangalizi kubaini kiasi cha silaha wafanyikazi wake watakuwa nacho.Machar kwa sasa yuko nchini Ethiopia
Riek Machar

No comments:
Post a Comment