| Mshindi wa wa Promosheni ya kwea pipa kwenda kushuhudia mechi ya Ligi Kuu ya Hispania maarufu kama La Liga, kati ya Deportivo la Coruna na Barcelona Machi mwaka huu Jamal Othman mkazi wa Lushoto, Tanga akikabidhiwa mfano wa hundi toka kwa Meneja Promosheni wa Tigo Pesa, Mary Rutta na Mkuu wa Idara ya Masoko ya Azam Media, Mgope Kiwanga katika mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika makao makuu ya Tigo Makumbusho jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment