TANGAZO


Monday, March 21, 2016

Azarenka amshinda Serena

Victoria Azarenka alipata ushindi wa seti 6-4 6-4 dhidi ya Serena Williams
Nyota wa mchezo wa tenesi Victoria Azarenka amemshinda mpinzani wake Serena Williams na kutwaa ubingwa wa michuano ya wazi ya BNP Paribas.
Baada ya kupata ushindi huu nyota huyu wa tenesi atarejea katika nafasi ya kumi bora katika viwango vya ubora kuanzia jumatatu hii.
Na huu umekua ni ushindi wanne kwa Azarenka mwenye 26 katika michezo 21 waliyowahi kukutana na Serena.

No comments:

Post a Comment